Instructions to Upload Music/Taarifa ya Kupakia Muziki
- AMN ADMIN
- Aug 3, 2016
- 1 min read
Below are instructions for how to upload music. 1. Log back in.
Ukisha Jisajili, Bonyeza #Login. 2. Go to Account in menu.
Jaza taarifa yako, bonyeza #Submit. 3. In Account menu dropdown select "Album".
Bonyeza #AddAlbum hata kama ni wimbo mmoja unaupakia. 5. Fill in info and submit. Jaza taarifa halafu wasilisha.
6. Select "Add Song".
Bonyeza #AddSong ujaze taarifa na wimbo unaopakia. 7. Fill in info and submit...wait while song uploads.
Bonyeza #Submit usubiri wimbo upakie mpaka upate taarifa ya utayari. 8. Select album name, song title, and cover for song. Bonyeza Add to Album halafu weka chagua #Jinalawimbo uliopakia uende kwa #Album uliyounda mwanzo,Chagua picha halafu bonyeza #Submit.
9. Song is now ready for admin approval.
Wimbo wako unasubiri Amn kuhakiki na utauona ukitokea kwenye mtandao wa Africanmusicnow kwenye #NewRelease 10. Once approved song appears in New Release. Shea na marafiki ili wanunue wimbo wako na ujipatie kipato.
Komentáře